Unataka karoti kutoka kwa wakulima au unataka masoko ya karoti kwa wateja?
Funguka vizuri kiongozi sababu kama unataka karot kutoka kwa wakulima hapa umefika.
Attention
Napenda kuthibitisha mkuu Ushimen amenitumia muamala mnono tu wala sikujua jamaa ni real kihivyo, ebwanaa Ushimen nimekuelewa sana, Asante mkuu kwa kuing'arisha jioni yangu, blessed up brother ππ€£π€£
Nimekusafisha rasmi. πππ
Sasa mtu fudenge alivyokua akishiriki kwa hali na mali nyingi kwenye campaign za Lowassa na kumpopoa bashite alikua hachanganyi siasa na dini? Ila kaanza kuzichanganya alivyorudi upande wa pili? Cha msingi nasema watanzania ni wanafiki na wazandiki na huwezi kujiita mpigania haki huku umejaa...
Ukisoma comments hapa utajua namna wanaccm walivyochangia kwa busara na utulivu na sio kwamba propaganda machines za CCM hazijaona hii video lahasha, ni sababu hii video haina mshikamano, ummoja na Amani ya watanzania wengi
Ila ingetokea kwa upande wa pili sasa? Hii video ingekua ndio agenda...
Mwingira kwa wakongwe wa jf wanajua zile threads zilizokua zikianzishwa miaka ya nyuma namna alivyozaa na wanawake za watu kibao ila sababu yupo upande wa pili hayo madhambi yake yote yenye ushahidi yametakaswa na hayaonekani
Ila mtu fudenge yeye anachanganya siasa na dini, nasikia kuna...