Tusiwatenge ila tuishi nao tukitambua NI SIKIO LA KUFA...eleweni gist ya issue anayosema mleta post.
Naunga mkono na mm siwezi beba single maza ilhali kuna totoz fresh kabisa. Asilani!
Kuna baadhi ya maeneo pale Mikindani na mtwara mjin yapo below sea level. Hata ukichimba mtaro wa maji kupeleka bararini sanasana utayaleta ya baharini uraiani