Wana Ukumbi.
Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya CHADEMA, wafuasi wa CHADEMA hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao.
Hili sakata la CHADEMA liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kikubwa kinachoitafuna Chadema kwenye sakata la wabunge 19 viti maalumu ni kuchanganya...
Tatizo kubwa hao wanawake wana mahusiano na viongozi hii ni tatizo.
Nimeshangaa Mdee, anasema zaidi ya mara moja wana baraka za Mbowe na Mbowe yupo kimya tu.
Chadema wasipokuwa makini kwenye hii issue basi tena safari ya kuwa kama TLP au NCCR Mageuzi imewadia.
Lakini mabeberu wana hoja ya msingi wanaulizia pesa za wananchi wao ambao wanalipa kodi, Prof nakukubali sana kukata mzizi wa fitna warudishiweni pesa zao kama Mwalimu alivyofanya au wapeni mchanganuo, kwani mlivyopeana kulikuwa hamna conditions zozote?