Hahahahaha, sasa hapa nilipo sina kazi nataabika hivi.. Afu tena nianze kutafuta vyeti, si nitarudi kijijini... Mana njia zote za kupata vyeti, lazima usome kaka... Sasa inakuwaje apo.... Nyie nichekieni hata pikapu nipate riziki
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hizo C zingine ni vigezo tosha, ila C kavu ndio kubwa kuliko zote... Na hio kuipata lazima usome
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Sikati tamaa, mana mimi ni wakiume tu.. Ila nikipata ramani yeyote mimi nitafanya tu... Shukrani kaka
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Naitwa Rashidi omary Khatibu, umri wangu miaka 27, Mzawa wa tanga... Ila kwa sasa naishi Arusha
Kazi niliokua nafanya ni kusafirisha mizigo mbalimbali kwenda mikoani kwa njia ya maroli, nikiwa kama dereva... Ila kwenye kazi kama mnavyojua hazikosi kasumba ndogondogo.
Nina mwezi wa sita sasa...
Hio C na E, Nazijambia tu kwenye Wallet, kazi hakuna, natafuta mpaka natamani kuingia hata nyumba binafsi
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mwanangu mimi nina leseni C lakini kazi Sipati,... Kila kitu kina wakati wake broo hata mimi napitia changamoto.. Ila naamini One day yes
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mwanangu, mi natamani sana, ila utakuta vigezo kibao, mi mwenyewe four felia... Leseni ninayo kubwa tu na cheti chake.. Ishu watakua na vigezo vingine ambavyo sina.. Hususan elimu asee apo itakua noma
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kweli jamaaa, hata mimi ilinitokea hio, nilikua na demu namuona kama katuni tu... Ndugu yangu sasa hivi nashindwa kumuacha na nina mpango wa kumuoa... Sijaamini mpango huu ila natamani kumuacha ila moyo hautaki
Huyu jamaa ni kama mimi, daahh pole sana ndugu yangu... Mana mimi kila wakati namuwaza ila muda wa kumuacha imeshafika... Yaani kuna wakati natamani kumrudia kwa maana kuna matendo yake mazuri nayafurahia sana, ila huo ni moyo.. But akili haimtaki kabisa.... Na anaomba msamaha lakini nashindwa...
We jamaa pole sana, ila bora wewe alisema mapema... Sasa mimi nimekuja kujua mtoto ana miezi sita ndio nakwenda kwao kitoa mahari... Afu familia yake inasema... Kama hutaishi na mtoto, muache mwenetu, au umleee... Aisee nililia ndugu yangu nililia kabisa yani.. Mana miaka minne yote tayari...