Search results

 1. Nyamgluu

  Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

  Eti mTanzania wa kawaida atamudu vipi dola 100? Sasa mtanzania wa kawaida anaenda kufanya nini nje ya nchi kipindi hichi? Mwanafunzi anaesoma nje ya nchi ni dhahir ana uwezo ndio maana hajasoma hapa. (Wenye ufadhili lazima watapewa utaratibu.) Mgonjwa ambae an agenda kutibiwa nje ni LA IMA...
 2. Nyamgluu

  Nisaidieni wapendwa,wanyaturu wana sifa gani nataka kuoa mnyaturu

  Hahahahahaha!! Kilichonitokea miezi kadhaa baada ya hii post dah!! Nimecheka sana kuiona miaka 7 baadae!! Hahaha JF bhana!! Ila kwa kifupi hizo mbegu ACHANA NAZO KABISA!! Especially kama wewe sio kabila moja nao. Full stop!
 3. Nyamgluu

  Tuongelee RUBELLA

  Habari waungwana. Miaka 6 iliyopita nilionyesha doubts zangu kuhusu chanjo ya Rubella iliyoletwa nchini kwetu. Nashukuru sana ule mpango haukupita nchi nzima na nina fikiri sababu kubwa ni tulivyompata huyu kiongozi wetu JPM. Sasa kama mtaalam tena nina wasihi msije kukimbilia chanjo ya...
 4. Nyamgluu

  Shahidi: Mbowe alitimua mbio kwa kasi, risasi zilipopigwa

  Chakushangaza hapa ni nini? Kwanini asikimbie risasi wakati yeye alikua hana silaha? Tungeshangaa kama na wao akina Mbowe wangekua na bunduki halafu risasi za polisi zilivyopigwa wao wakakimbia, otherwise tunashangilia upuuzi ambao hamtaamini utakavyokuja kutugeukia hata sisi wana CCM!! Sasa...
 5. Nyamgluu

  Mambo ni mazito sana kwa Dkt John Magufuli...

  Kwa akili ya haraka haraka tu, tena ndogo, unavyoona Jiwe ni wa kuondoka 2020? Huyu tunaye mpaka 2030!! Mark my words!!
 6. Nyamgluu

  Ugonjwa wa EBOLA ni swala la USALAMA wa TAIFA na BARA ZIMA la AFRIKA

  Ebola ni gonjwa la kutisha sana, hii ni kwasababu huambikiza kirahisi sana, huua haraka na vibaya sana na halina tiba mpaka sasa! Tunaambiwa gonjwa hili linasababishwa na kirusi kinachopatikana kwenye nyani “kuruka”(mutate) na kuweza kumwathiri binadamu. Mnamo tarehe 21/8/2018 Serikali ya...
 7. Nyamgluu

  Indian School Dar es Salaam

  Umaskini ukiuruhusu uingie mpaka kwenye akili una shida sana.
 8. Nyamgluu

  Duka la Miniso: Mlimani City Mall

  Wewe ni m Japan mpaka ikuume hivyo? Quality za made in Tanzania nazo vipi? Nahisi kuna something behind hapa.
 9. Nyamgluu

  Tunaibiwa na VODACOM na Serikali inaangalia tu!

  Enough is enough aisee. Wanirudishie hela nisepe. Hata vihisa vyangu vikitoka nauza vyote. Na sishauri mtu yeyote ajihusisha na hili kampuni laki jambazi!
 10. Nyamgluu

  Tunaibiwa na VODACOM na Serikali inaangalia tu!

  Wa Tanzania wenzangu mtandao wa vodacom unatuibia hela mchana kweupe bila kujali na hakuna popote tunapoweza kushtaki. Huduma zao za kutuma pesa ni sawa na ujambazi wa kuvunja na kuingia kabisa sababu wanachukua hela yako halafu hawafikishi kwa mhusika na kukwambia kuna "tatizo la mtandao" na...
 11. Nyamgluu

  Askari wetu mnaangamia kwa kuwa mlipuuzia ushauri wa Rais

  Mtu hata scenario ya tukio hajui, wala maana ya ambush hajui, ila ndio kimbelembele cha kuhukumu na kutoa kasoro. Watu wako kwenye gari wanarudi toka lindoni. Jambazi/majambazi wakaanza kumshambuli dereva na kusababisha gari kuyumba na kugonga/kuanguka pembeni. Mda huu risasi zinaendelea...
 12. Nyamgluu

  Yaliyojiri: Mkutano wa Wanahabari na Spika wa Bunge, Job Ndugai

  Hivi ni kwamba asingeenda Raisi hayo makontena yasingeshikwa!? Halafu eti LEO ndio Spika anataka iundwe tume kuangalia tunafaidikeje na biashara ya madini LEO!! Hizi ni laana za kuacha kuabudu miungu yetu. Sioni reasoning ingine. Kama huyu Mungu ni huyo huyo na wa wenzetu inakueje sisi tuko...
 13. Nyamgluu

  Tanzania yetu yajifunga Kitanzi huko Morocco, No Industrialization, inauma sana!

  Jamani kaandika mtu bila hata ya source wala kutupa link ya details za mkataba wenyewe ila waswahili washaanza kuponda bila kufikiri.
 14. Nyamgluu

  Nani alimchagua mkalimani(translator) wa Magufuli?

  Hivi nikwamba wenye uwezo hawajitokezi au hawajikombi?
 15. Nyamgluu

  Makamu wa Rais Samia Suluhu amuwakilisha Dkt Magufuli Swaziland Mkutano wa SADC

  Hehehe. Utajua utumwa wa muafrika hauwezi kuisha pale mweusi anaejua kingereza na kubeba ma box ulaya anamkebehi mweusi mwingine kwa kutokujua kingereza ila ni kiongozi wa watu million 50!! Yani mweusi anaetumikia wazungu ulaya na kuwataza wazee huko ulaya leo hii anajiona ni bora kuliko...
 16. Nyamgluu

  Kilimo cha mbaazi, natafuta mbegu

  Ukitaka kuuza mbaazi nje ya nchi jitahidi kuwa na angalau ton 20 halafu muweze ungana watu muwe na atleast ton 100 yani contena 5. Baada ya hapo inaenda pimwa kwenye maabaravkujua viwango vya madini, protein vitamini nakadhalika. After that kwa kutumia ripoti yako hio tuna contact wanunuzi...
 17. Nyamgluu

  Kilimo cha mbaazi, natafuta mbegu

  Jcoder kibila na Inamonga tuwasiliane private msg je mna kiasi gani each ili nimweleze mdau wa India. Nitumieni na contacts za wapi mbegu bora. Demand iko juu sana India.
 18. Nyamgluu

  Kilimo cha mbaazi, natafuta mbegu

  Habari mkuu. Nami natafuta sana mbegu ya mbaazi. Ukiweza pata nijulishe nami nichukue. Pia tunaweza uza kwa pamoja maana mimi nimepata connection ya kampuni India. Tuwasiliane.
 19. Nyamgluu

  Nakodisha mashamba kwa ajili ya kilimo cha matikiti, vitunguu, nyanya na kadhalika.

  Habari wadau. Nina kodisha mashamba yangu huko Nyanzwa Ruaha Mbuyuni na Mgama Iringa. Bei ni laki moja na nusu kwa eka. 150,000/=. Kote kunafikika kirahisi kabisa na gari maana moja liko barabarani kabisa na lingine sio mbali na barabara kuu. Kwa Nyanzwa Ruaha mbuyuni unaweza kuwa unalala gesti...
 20. Nyamgluu

  NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

  Nimecheka mpaka nimeumwa. Utafikiri mazuri. Dah, sijui tulikua tunaenda wapi.
Top Bottom