Search results

 1. Msolopagazi

  Msaada wa kisheria kuhusu mifuko ya jamii NSSF

  Jamani mimi nilikuwa mfanyakazi kwenye sekta ya madini nimeachishwa kazi muda wa miezi nane lakini kila nikienda NSSF nazungushwa njoo baada ya miezi miwili mara mwezi bila mafanikio je kuna njia gani nitaweza kutumia labda ili niweze kupata haraka. Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.
 2. Msolopagazi

  Ombi kwa Rais;Fao la kujitoa

  Ombi kwa vyama vya wafanyakazi kesho ikiwa ni siku muhimu kwa wafanyakazi ni bora na watakuwa wamefanya jambo la maana na la kukumbukwa kwa kumuomba muheshimiwa rais John Pombe Magufuli kuruhusu fao la kujitoa kwani sekta nyingi almost zote zimedorora sana hasa za binafsi kupelekea kupunguza...
 3. Msolopagazi

  Serikali iongee na ACACIA ili kuondoa sintofahamu kwa wafanyakazi

  Hili la kuzuia mchanga unaozalishwa kwenye migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi kusafirishwa bila kuweka utaratibu mbadala,litatugharimu. Wafanyakazi zaidi ya 6,000 wameajiriwa kwenye migodi hii na wamepewa notisi ya miezi 2 kuanzia sasa kwamba, kama hakuna kitakachobadilika basi migodi yote miwili...
 4. Msolopagazi

  Acacia yakanusha tuhuma kudaiwa kodi

  Kampuni la uchimbaji madini la Acacia limekanusha tuhuma za ukwepaji kodi zilizotolewa mapema wiki hii na kusema kwamba wenyewe hawa husiki na wala hawadaiwi chochote na serikali kwani kodi hiyo wa natakiwa kuanza kulipa mwaka 2018 kutokana na uwekezaji waliofanya wa dola bil 3.2 kwani Bado...
 5. Msolopagazi

  Msaada jinsi ya kuunlock Tigo huawei y 300

  Jamani naomba msaada jinsi ya ku unlock hii simu niweze kutumia line zote
 6. Msolopagazi

  Barrick kupunguza wafanyakazi 550

  Kampuni kubwa la kuzalisha Dhahabu la Barrick kupitia mgodi wa Bulyanhulu limetangaza kupunguza wafanyakazi 550 wakitanzania kutokana na kushuka kwa bei ya dhahabu kwenye soko la dunia baada kupunguza wafanyakazi wakigeni wapatao 30. Kuanzia jana wametoa fomu kwa wanaojitolea kuacha kazi...
 7. Msolopagazi

  Nyumba za NHC Dar

  Jamani nimeona NHC wakitangaza kufukuza wapangaji wenye madeni sugu sasa wameanza na makampuni na mashirika yasiyolipa kodi muda mrefu pia wamedhibiti uuzaji wa nyumba kati ya mpangaji na mpangaji je nikitaka nyumba Dar nitapata? na ni kwagharama gani? na niende wapi na nimuone nani au Msechu...
 8. Msolopagazi

  Bulyanhulu/Kakola waandamana kudai maji Barrick

  Wakazi wa Bulyanhulu na vijiji vya jirani wakiongozwa nadiwani wao wa Chadema leo wamefanya maandamano ya amani kwa kuwapa Barrick siku 30 wawe wameleta maji kakola kwani wanaishi jirani na mgodi unaotumia maji toka ziwa Victoria pia mwaka 2006 meneja alitoa dola 60,000 kwa ajili ya maji kwa...
 9. Msolopagazi

  Modem za voda zimezidi wizi wa wazi

  Jamani mie nashindwa kuelewa hawa mafisadi wa Vodacom yaani karibia miezi miwili sasa kila nikinunua bundle yaani baada ya dakika chache tu unaambiwa bundle yako imekwisha jaza hela tena. Ukiweka ukianza kufungua Jamii forums hata hujafika kwenye topics unaambiwa your bundle is depleted...
Top Bottom