SoC03 Threads

  • Suggestion Suggestion
Karibu kwenye chapisho langu hapa nitaelezea maisha ya binadamu katika siasa, uchumi na kijamii ila nitatumia hii methali "ndege wanaofanana huruka pamoja" kama mbinu ya kifasihi katika...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Vijana Kuwajibika kijamii ni muhimu kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa kila mmoja wetu. Kila mmoja wetu anapaswa kuchukua jukumu katika kusaidia na kuchangia katika maendeleo ya jamii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na...
1 Reactions
1 Replies
997 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Sauti ya nyenje na wadudu wengine iliendelea kunisindikiza taratibu kuelekea nisipopajua. Safari yangu niliyoifanya wiki moja ilinichosha na kunipotezea matumaini. Jua lisilokoma liliendelea...
1 Reactions
1 Replies
554 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Habari za wakati huu ndugu Kulikuwa na kijana mdogo aliyeitwa kaswahili, mzaliwa wa kijiji kidogo kutokea katika nchi ya Tanzania, kijana huyu alitamani sana kuiona Tanzania ikiwa nchi bora...
2 Reactions
6 Replies
636 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Fumbo la nishati: Nishati huifadhiwa, lakini tunaishiwa. Tuangazie vyanzo vyetu vya sasa vya nishati na matarajio yetu ya nishati ya siku zijazo kwa ufupi. Kisayansi, hebu tuangalie baadhi ya...
1 Reactions
1 Replies
458 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
#Storyofchange2023 Mwandishi: Wa Kale Mawasiliano, Email: officialmapatotz@gmail.com Simu: +255745922142 Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika...
1 Reactions
1 Replies
773 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
TANZANIA TUANZISHE ‘ELIMU YA SAYANSI KWA URAIA UNAOWAJIBIKA Hivi sasa, elimu ya sayansi hailengi tu kuelimisha wanasayansi na viongozi wa baadae, lakini kuongeza idadi ya wanafunzi wote kuwa raia...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ni mimi na Wewe Ili kujenga jamii bora yenye kuzingatia maadili na desturi za kiafrika basi watekelezaji wakubwa ni mimi na wewe. Mimi na Wewe ndio tunaoweza kuibadilisha jamii au kubadilisha...
1 Reactions
2 Replies
522 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
NGUVU, AHADI NA MTIKISIKO WA MAJI SAFI YA TANZANIA Benjamin Franklin katika karne mbili zilizopita alisema”Pale kisima kikaukapo,tunajua thamani ya maji’Vile visima ambavyo tulijivunia kwamba...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania, kama nchi nyingi za Kiafrika, inakabiliwa na viongozi wasiowajibika na wala rushwa. Hii imesababisha wingi wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, ukosefu wa...
1 Reactions
1 Replies
398 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi, Uwajibikaji na utawala bora ni misingi muhimu ya maendeleo endelevu katika jamii. Katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa, kiuchumi, na kijamii, uwajibikaji na utawala bora...
2 Reactions
1 Replies
818 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Mtandao (Internet) umekuwa moja ya teknolojia zinazoongoza ulimwenguni na ambayo imetoa mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kuinua ustawi wa mamilioni ya watu duniani...
1 Reactions
1 Replies
475 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida...
3 Reactions
4 Replies
944 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI “POSATRAS” ni mfumo dhibiti wa majanga na uhalifu yanayosababishwa na vyombo vya moto kama vile pikipiki, na magari ya aina zote. Lengo la mfumo ni kudhibiti majanga yanayotokana na...
1 Reactions
1 Replies
781 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
WATU, SIASA NA MAENDELEO Watu ni Wananchi, Wananchi ni watu wanaotambulika kisheria kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida iwe kuomba au kuzaliwa. Kwa uelewa Wangu mdogo najua kuwa Raia na...
2 Reactions
1 Replies
650 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
LUCK and CHOICES Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK) ,.Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo...
2 Reactions
1 Replies
372 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
WATU NI MTAJI Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya...
2 Reactions
1 Replies
458 Views
Upvote 7
Back
Top Bottom