ASBESTOS NI NINI?
Asbestos ni madini yanayochimbwa ardhini kama madini mengine. Kwa miaka iyoyopita asbsestos ilikuwa na bei nzuri katika soko la dunia kwa sababu ilikuwa na matumizi mengi katika...
KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA.
Habari wakuu,poleni na majukumu
Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi...
Ni hakika kwamba, kwa miaka ya karibuni, kila Mtanzania mwenye akili timamu na ukamilifu wa kujitegemea, kama siyo mfanyakazi wa kuajiriwa au mfanyabiashara, lazima aisumbue akili yake ili kujua...
Utangulizi:
Ulevi wa pombe limekuwa ni janga linaloitafuna sana jamii yetu kutokana na kusababisha matatizo mengine mengi zaidi ikiwemo umaskini, migogoro kwenye ndoa, ugomvi na hata mauwaji...
Habari zenu wanajukwaa la Story of change.
Katika uzi huu nataka kuelezea ulazima wa kujifunza lugha ya kiingereza kwa mtanzania hata asie na elimu kubwa. Hili suala huwa haliongelewi kabisa na...
Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam.
Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye...
Habari yako,
Kwa wakazi wa Bongo, neno Shivaz sio geni masikioni mwenu! Manka Mushi mie, mtoto wa kichaga huko na Mrina ndiyo yalikuwa machimbo yangu ya kujidai. Kiufupi nimeumbika, shepu...
Habari wana JF
Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) .
Mada hii...
Ni siku nyingine tena mpndwa nafasi nyingine ya kushukuru Mungu kwa uzima tuliopewa pamoja na kwamba tupo katika shindano lakini kipaumbele ni kusaidia jamii zetu zinazo kumbwa na matatizo...
Maisha ya mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na muonekano wa kila siku anaojitahidi kuutengeneza katika mazingira yanayomzunguka. Je, muonekano ni nini? Uwezekano ni nini? Kanuni hii ni siri kubwa...
WOSIA SIKU YA NDOA YANGU KWA MWANAMKE NITAKAYEMUOA
Picha: www.wikipedia.com
Mwandishi: Emmanuel P. Peter Jr.
Mob/WhatsApp: +255 788000273
Email: emmapeter759@gmail.com
Instagram: emmapetertz...
Habari JF,
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15...
Pamoja na uwepo wa utitiri wa ndoa sasa lakini bado katika ulimwengu wa sasa kuna vijana wanaogopa kuoa.
Kwanza kijana acha uoga kila kijana akiamua anaweza kuoa na kumudu familia hata kama ana...
HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA
Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo...
MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP)
Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima...
Wanasaikologia mpo wapi? Na kama mpo mnafanya nini? Jamii inahitaji msaada kutoka kwenu. Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu na hapa nchini huwa tunapokea wahitimu...
Habari.
Hii ni kwavijana na wapambanaji wenzangu. Hizo picha happy juu Ni safari ya mafanikio ya maisha yangu.
Mimi Ni kijana niliye zaliwa kwenye familia masikini, nikasoma katika shule za...
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho. Kabla sijashare nanyi kusudio langu la huu uzi. Naomba niwape story ndogo kuhusiana na...
Tatizo la takangumu ni kubwa na lenye changamoto nyingi katika miji yetu... Manispaa nyingi hujaribu kwa kila namna kupambana na hili tatizo lakini juhudi bado hazijakidhi ukubwa wa tatizo.. Zipo...
Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa.
Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.