Nimekutana nayo huko mitandaoni hasa hasa kwenye mtandao wa X. Hivi kuna ukweli ndani yake kuwa Mama Samia amezungumza na TCRA kuwa ili simu iunganishwe kwa mpokeaji, inatakiwa mpigaji simu na...
Nimekuwa ni mtumiaji wa panadol katika kusafisha pasi yangu inapochafuka, lakini nimepigwa na butwaa na kupata wasiwasi baada ya kukutana na post mtandaoni kuwa matumizi hayo ya panadol ni hatari...
Wakuu, nimekutana na hii taarifa kuwa Serikali ya Tanzania imempa ardhi yenye ukubwa wa Hekyta 80 Mwigizaji nyota wa filamu Idris Elba kwa lengo la kujenga studio zake za filamu ikiwa ni kufuatia...
Habari Wanajamvi..
Katika pitapita zangu huko mtandaoni nimekutana na picha hii inayoonesha kama imemnukuu Rais Samia. Je, nukuu hii ina ukweli wowote? Na ni kweli aliyasema wapi haya?
Kumekuwa na stori kadhaa mtaani kuhusiana na madhara yanayoweza kusababisha na matumizi ya mara kwa mara ya 'energy drinks'.
Baadhi ya wadau wanadai pia inasababisha Uzalishaji hafifu wa 'sperm'...
Tangu kuzinduliwa kwa zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kumekuwa na taarifa zikisema kuwa kuna wimbi kubwa la wanafunzi wa shule na watu wasiotimiza umri...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bwana Paul Makonda ameandika kwenye mtandao wake wa Kijamii kuwa anafahamu M/Kiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameingia Arusha kimyakimya huku ikiwa ni siku aliyoitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.