Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanza napenda kumshukuru mh rais sana. Halafu kwa niaba yangu pia najishukuru. Huyu demu muda flani nlimwambia naomba show. Akawa na maneno mengi kidogo na kutaka nimbembeleze. Mi sikuwa na muda...
3 Reactions
7 Replies
12 Views
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
9 Reactions
124 Replies
2K Views
sina imani kama tutashinda,tutafungwa tu
1 Reactions
6 Replies
87 Views
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu ! Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka...
2 Reactions
9 Replies
165 Views
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi...
8 Reactions
360 Replies
11K Views
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
Ni vizuri kupatunza vema mahali panapoota nywele katika sehemu mbalimbali za miili yetu. Ni muhimu kupapenda na kupajali kwa kupafanyia usafi mara kwa mara kwa kunyoa lakini sio kila siku, ili...
6 Reactions
39 Replies
932 Views
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
169 Reactions
9K Replies
1M Views
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za...
7 Reactions
49 Replies
969 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,302
Posts
49,196,581
Members
663,983
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom