Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kuna makamanda wa polisi wa mikoa waliovuma sana enzi zao za utumishi Jeshini kwa kupambana na uhalifu. Mmoja wapo ni, Venance Tossi. Tukumbushe wengne unaowajua.
4 Reactions
101 Replies
24K Views
Habarini, "Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao. Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka...
18 Reactions
82 Replies
3K Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
3 Reactions
14 Replies
323 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba. Ujue bora akusalimie tu shkamoo Hapo ujue bado upo Ila akimalizia tu . Una hali mbaya...
23 Reactions
67 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba...
5 Reactions
27 Replies
365 Views
Habari, wanajf kunabinti anatafuta kazi yeyote ila isiwe ya bar Umri wake ni 20 tu.picha nimewawekea hapo chini pia bila kusahau anapatikana geita huko.
1 Reactions
11 Replies
32 Views
Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC (VTPLC), imekamilisha ununuzi wa Smile Communication Tanzania Limited, kampuni ndogo ya simu inayoshindana, bila deni au fedha taslimu, kwa TZS 68.8 bilioni ($27.4...
3 Reactions
11 Replies
279 Views
Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na...
3 Reactions
14 Replies
625 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,019
Posts
49,404,146
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom