Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

yataapitaaaaaaa..a.yanaaaaaa ......ipoh siku tutayasahauu wotee rip babu G
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
38 Reactions
126 Replies
3K Views
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa...
0 Reactions
8 Replies
27 Views
Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania...
2 Reactions
15 Replies
197 Views
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
32 Reactions
110 Replies
5K Views
Jana tumeona mechi ya Yanga na jkt ikiahirishwa maana uwanja ulikuwa haitamaniki maji Kila sehemu na utelezi wa kutosha (bila shaka jkt walitaka wachezaji wa Yanga waumie) Leo mvua ni kubwa kuliko...
0 Reactions
2 Replies
10 Views
Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa...
0 Reactions
26 Replies
223 Views
Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
1 Reactions
14 Replies
161 Views
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi, Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu. #Samia hakamatiki ==== Below are...
14 Reactions
72 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,053
Posts
49,473,221
Members
666,573
Latest member
Binta Maso
Back
Top Bottom