Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
7 Reactions
89 Replies
3K Views
Inahitaji jicho la ziada na la kijasusi kuona jambo fulani katika video hii wakati Mamelodi Sundowns wanakanyaga ardhi ya Nyerere. https://www.youtube.com/watch?v=WbXPCaWE4uY Embu nione ni...
2 Reactions
7 Replies
366 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
4 Reactions
54 Replies
728 Views
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
4 Reactions
12 Replies
140 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Sote tunaujua mpira yah mpira ambao uotumika kuchezwa na wachezaji vipi ule si duara kama dunia!? Leo hiyi ukiuchukua mpira ukachukua makapeni ukauchora mstari kwa uelekeo uleule ukazungusha...
0 Reactions
13 Replies
170 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwemo watu wenye mahitaji maalumu, Wajane, Yatima, Wazee na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ama kweli Maendeleo hayana Chama.
4 Reactions
13 Replies
543 Views
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
19 Reactions
108 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,494
Posts
49,203,847
Members
664,041
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom