Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
1 Reactions
45 Replies
428 Views
Kwema Wakuu! Funga ni yako na dini yako na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini...
3 Reactions
31 Replies
32 Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wanawaza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
10 Reactions
125 Replies
2K Views
Kuna huyo pastor anajiita Dominic (kiboko ya wachawi) nadhani kuna wanao mfahamu mi nauliza tu ni mkweli ama tapeli kama wengine? Kuna siku natafuta channel ya kusikiliza kwenye radio mara...
2 Reactions
28 Replies
13K Views
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni...
3 Reactions
15 Replies
44 Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
11 Reactions
91 Replies
1K Views
ni miongoni mwa chaguzi rahisi mno, na ni muhimu sana kwa waTz. ni kuhusu hoja na sera za maendeleo dhidi ya malalamiko, kelele na ghadhabu za waliokosa hoja na walio poteza uelekeo. ni baina ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
17 Reactions
112 Replies
1K Views
Kuna habari gani?
8 Reactions
97 Replies
8K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views

FORUM STATS

Threads
1,840,502
Posts
49,204,140
Members
664,042
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom