Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga apa sinza basi Kuna vibint vinasoma chuo cha ustaw wa jamii mwenge, vikitoka chuo tuu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa...
Vijana wetu wamezidiwa sana na vijana wenzao wa Senegal kwasababu.
1. Vijana wa Senegal wanapenda na kutafuta mbinu za kujua habari na sio habari za kulishwa na serikali.
2. Vijana wa Senegal...
Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana.
Mwanamke au mwanaume...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake
Kwamba wahusika hawatokwenda...
Wanaukumbi.
Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel.
Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za...
Taarifa kutoka zinasema Helicopter ya Jeshi la Kenya imeanguka na kuwaka moto ikiwa na watu 9 ndani inasemekana pia alikuwepo General Ogola (CDF)
Rais Ruto ameitisha kikao cha dharura
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini,Kwa miaka mingi,wanalipwa mafao yqo yote bila kujari kikokootoo,Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi Gani,kuepuka...
Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao.
Ifahamike kwamba Israel imekua...
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.