Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
2 Reactions
44 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
7 Reactions
59 Replies
821 Views
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM...
21 Reactions
92 Replies
6K Views
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
19 Reactions
117 Replies
1K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
4 Reactions
766 Replies
18K Views
Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya watu waliofunga kuwakosoa wale wa imani nyingine pale wanapokula chakula mchana ilhali wao wakiwa kwenye funga. Ijulikane kuwa, funga ni jambo la kiimani na si...
39 Reactions
380 Replies
19K Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
7 Reactions
100 Replies
1K Views
Nimejiuliza sana swali hili bila kupata majibu. Nini kinakwamisha maendeleo ya biashara ya gas ya KUENDESHA VYOMBO vya moto hata nchini? Baadhi ya maoni ya wadau ni kwamba Serikali haijatilia...
0 Reactions
2 Replies
52 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,497
Posts
49,203,937
Members
664,041
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom