Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro...
Niajee wakuu,
Mazoezi ni muhimu sana.
Shauri yenu!!!
Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.
Achaneni na chips yai wazee pigeni...
HILI WADAU LITAONGEZA USHAWISHI MKUBWA KWA TAIFA KILA NCHI ITACHAGUA TZ KUJA KUWEKA KAMBI BADALA YA KUKATAZA JEZI TUTENGENEZE ELA KUPITIA HILI,WIZARA IFANYE UBUNIFU TUMEONA MAMELOD WAMEKUA NA...
-
Huwa binafsi mimi na wachezaji wangu tunatembea bila viatu wakati tunapoukagua uwanja wa wapinzani wetu #CAFCL, wasiotufahamu haswa katika michezo ya kimataifa huhisi ni uchawi wetu ila ukweli...
Great Thinkers.
Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.
Huwezi ukategemea watu.wa.Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth...
Wakuu samahani,
Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao.
Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu...
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foreni kubwa kwa barabara ya dar - chalinze na majeruhi kadhaa
Hili nilikuwa jambo la kusubilia maana ligi zao...
Wakuu kwema?
Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.