Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu kwema Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina...
0 Reactions
9 Replies
50 Views
Salaam Wanajukwaa Kama ilivyo desturi yetu Wanajf kujuzana, kuelimishana nk.. Leo ningeomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu je kwa mtaji wa Milioni 2 naweza fungua biashara hizi mbili 1.Saloon ya...
5 Reactions
32 Replies
518 Views
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao. Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila...
32 Reactions
83 Replies
2K Views
Habari wakuu, nina marafiki wengi walio hitimu chuo mwaka jana lakini mpaka sasa wanahangaika sana na suala la ajira. Nimekuja kugundua kwamba elimu ya Tanznaia haizingatii mahitaji ya soko la...
0 Reactions
8 Replies
40 Views
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
28 Reactions
87 Replies
3K Views
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA...
16 Reactions
119 Replies
2K Views
Hatari SIMBA WA KWENYE LOGOO KAKIMBIA KACHOKA NA MATESO.
3 Reactions
5 Replies
70 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
1 Reactions
33 Replies
214 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,226
Posts
49,478,944
Members
666,659
Latest member
moma22
Back
Top Bottom