Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
hili ni janga lengine la Taifa ukiachana na hesabu,puli na wizi.
3 Reactions
31 Replies
69 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Kikosi cha JKT Kinachoanza. Updates... Dk 25' 0-0 Game...
5 Reactions
237 Replies
3K Views
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
7 Reactions
77 Replies
1K Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
7 Reactions
32 Replies
844 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
40 Reactions
185 Replies
6K Views
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa...
0 Reactions
3 Replies
82 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme, tuwe tunatumia umeme na gas, maana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya. Pia Soma -...
4 Reactions
7 Replies
113 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,186
Posts
49,477,611
Members
666,641
Latest member
Aliy seif
Back
Top Bottom