Niaje waungwana
Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia.
Kila alipopelekwa alionesha...
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
Ukidumu katika video inayosambaa utagundua hasira ya wazsnzibar vs wabara kuna chuki inayofichwa.
Ninkama moshi unaofula chini kwa chini. Moto utakuja kuzagaa chini na ukafika kwa wananchi.
Kuwe...
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
SURA YA 1
KWA mara nne mfululizo katika wiki ile, Luteni Maige alijiwa na ndoto ile ile usingizini. Aliamka kwa mshtuko, jasho likimtoka huku akihema kwa kasi.
Safari hii, hata alipofumbua macho...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria DAR es salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu...
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000.
Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha...
Humu kuna watu wengi sana.
Nilipiga kutokana maelezo ya baadhi waliojielezea kwa mf bado miaka 3 astaafu. Inamaana huyu ni 57 years.
Je kuna uwezekano wapo wa 80years of age?
Wadau,
Nimeona nilete jamvini hii mada ili tuijadili. Miaka kadhaa ya nyuma serikali ilikuwa ikitoa matamko na makaripio makali juu ya uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake lakini nimegundua wimbi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.