Ndugu zangu Watanzania,
Nawaambieni ukweli kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu...
Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027.
Uwanja huo utagharimu...
Mimi ni kijana wa miaka 20 nipo Dar es Salaam.
Natafuta mwanamke wa kuwa kwenye mahusiano miaka kuanzia 18-25
Awe mweupe na kama sio mweupe awe na kamwili.
Awe mpole maana mimi ni mpole sana...
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo...
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma.
Ndipo waziri wa uchukuzi prof...
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania.
Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo...
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.