Habari zenu!
Bila kupoteza muda naiomba serikali itoe tamko kupitia wizara ya afya juu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Baadhi ya vituo vya afya vimeshaanza kuzidiwa na wagonjwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tumemsikia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitoa taarifa bungeni Leo, kuwa mafuriko hapa nchini kote, tokea mvua za masika zianze, yamesababisha vifo vya jumla ya watu 155!
Hizi taarifa, tulipaswa...
Andikeni maandiko yote lakn huyu striker anayefanana na striker wa zamani wa Tottenham Freddy Kanoute hana uwezo wa kuchezea Simba.
Freddy hamfikii hata robo yule striker mkenya wa Ihefu aitwae...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.
Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
Taarifa za karibuni kabisa kutoka Gaza zinasema kiongozi mkuu wa Hamas,Yahya Sinwar hivi karibuni ameweza kukagua vikosi vya wapiganaji wake maeneo tofauti ya Gaza.
Alifanya hivyo kwa kujitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.