Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello Great Thinkers. Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu. Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania. Viwe...
10 Reactions
81 Replies
3K Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
27 Reactions
142 Replies
2K Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
4 Reactions
73 Replies
1K Views
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya...
2 Reactions
8 Replies
181 Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
2 Reactions
78 Replies
906 Views
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula...
13 Reactions
328 Replies
20K Views
Wakuu natumai mu wazima! Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja. Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na...
25 Reactions
198 Replies
7K Views
VIWANJA VIPO MBEZI MWISHO MSIGANI BARABARA YA MARAMBA MAWILI ✳️ VINA SQM 700 KILA KIMOJA ✳️ VIMEPIMWA VINA HATI YA WIZARA ✳️ PUNGUZO LA BEI MLN 15 TU ✳️ VIPO ENEO ZURI LENYE HUDUMA ZOTE WAHI...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
22 Reactions
127 Replies
1K Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
7 Reactions
123 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,527
Posts
49,204,996
Members
664,043
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom