Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
19 Reactions
172 Replies
6K Views
Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards. Kwenye...
3 Reactions
29 Replies
737 Views
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba...
2 Reactions
25 Replies
357 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
15 Reactions
59 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine ile ya kwa mkapa hatoki mtu leo huenda inavunjwa kama alivyofanya Raja Casablanca. Alhalyl ni timu ambayo inaleta matokeo popote pale , hardly Ahly kufungwa goli tatu kama...
0 Reactions
7 Replies
62 Views
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa...
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
30 Reactions
147 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,636
Posts
49,208,141
Members
664,073
Latest member
merckme
Back
Top Bottom