Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Nimewiwa kuuliza hili swala dunia inaenda less sana..kwa namna wanavyotupiana makombora hawa Israel na Iran inafikirisha sana.
Sisemi kwa ubaya ila ikatokea dude limekosea njia mara gweee uelekea...
Katibu Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema yeye na Dr Nchimbi wamesikiliza Kero 148 kwenye Mikoa 5 hadi sasa na kuzipatia ufumbuzi
Source: Ayo Tv
Mlale Unono 😄😄😄
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa ndugu Lissu anatarajia kuondoka na kuihama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa.hii ni baada ya kutoridhika na mwenendo na aina ya siasa zinazoendeshwa na ndugu...
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili...
Ila cha saa kumi huwa...
Sikukuu jamani April 20.
Inaitwa 4-20
Ni siku ya kula bhange duniani 🤫😆😆
Basi hata tusipopumzika tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na fursa ya zao la bange nchini. Au mnasemaje masela?
Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.