Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa...
Haya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Ndugu zangu Watanzania,
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara...
Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu...
Mamdogo Penny
Money Penny enhe!
Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy
money penny: kwanini?
mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3
money penny: ana umri gan...
Kuna demu nimemtongoza akanikubali basi baada ya muda akawa ananiuliza " Baby unaish wap Natalie Nike kukuona honey Wang" basi kidume kdume nikamwambia " usijali malaika wangu muda si vilee...
Nimegundua ni ngumu sana kuwalaani au kuwachukia Wayahudi. Hili dhehebu la Shia katika Uislamu ni zao la Myahudi ambaye alitumwa aende anzisha hili dhehebu katika uislamu. Abdullah Ibn Sabai Karne...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki.
Hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.