Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kauli ya Mbowe inanikumbusha Swali la Mungu wa Mbinguni na Majibu ya Adam pale Eden Mungu: Adam kwanini umekula tunda nililokukataza usile Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa ndio amenidanganya...
4 Reactions
15 Replies
137 Views
Habari wakuu, Naombeni mnishauri. Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa...
17 Reactions
79 Replies
3K Views
Muda huu maeneo ya Kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
0 Reactions
15 Replies
162 Views
Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama. Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya...
3 Reactions
57 Replies
806 Views
Serikali Imepunguza Bajeti ya Nishati Kwa zaidi ya Trilioni 1. Unajiuliza Kwa nini upunguze Bajeti wakati Kuna Mikoa Iko off grid eg Rukwa,Katavi,Lindi na Mtwara? Pili unapunguzaje Bajeti wakati...
0 Reactions
7 Replies
16 Views
Nyumba Inauzwa. Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda. Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom. Eneo Sqm 135.73 Ina leseni ya makazi. Bei Milioni 85 Karibu sana mteja...
5 Reactions
25 Replies
345 Views
Kwema jamani Vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura. Ishu ni kwamba cheti cha form four nilipoteza. Je, hakuna namna naweza kupata hii dili...
0 Reactions
4 Replies
72 Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
4 Reactions
19 Replies
323 Views
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA. Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa. TANGANYIKA Haipo hakuna...
0 Reactions
11 Replies
201 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,328
Posts
49,482,437
Members
666,697
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom