Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari kwenu wanajamii wote. Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali? Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
19 Reactions
1K Replies
62K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono. Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti. Askari walifika...
3 Reactions
42 Replies
399 Views
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
21 Reactions
90 Replies
2K Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
10 Reactions
77 Replies
2K Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
17 Reactions
143 Replies
3K Views
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
0 Reactions
14 Replies
363 Views
Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko...
22 Reactions
122 Replies
6K Views
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya...
25 Reactions
112 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,965
Posts
49,436,268
Members
666,154
Latest member
fifiii
Back
Top Bottom