Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
162K Replies
4M Views
Nauliza krefu cha herufi G kwenye jina la marehemu Gadner G Habash na je hayo ndio majina yake halisi?
1 Reactions
11 Replies
720 Views
Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine . Tundu Lissu ndiye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua biashara ya kunyoa yaan kinyozi Siyo berbershop bado haina hadhi hiyo Lakini naona mauzo madogo je naweza nikaongeza biadhara gan hapo ili iwe inabust?? Watalamu wa biashara
4 Reactions
37 Replies
1K Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
6M Views
Nina gari aina ya van. Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13. Baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
154K Replies
8M Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
51 Reactions
158 Replies
4K Views
Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye. Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa...
15 Reactions
41 Replies
2K Views
Nauza kiwanja bei 4M ukubwa 60*15 Eneo Fumagila/Nyamagana/Mwanza Maji Yamefika Umeme umepita Barabara zipo Hakijapimwa Contact Dm au ukihitaji nakucheki
0 Reactions
3 Replies
290 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,978
Posts
49,471,665
Members
666,532
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom