Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni...
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.
Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000...
Uwezo wa kukabilianana majanga kwa wakati si jambo rahisi kwa taifa na jamii yoyote haijarishi uwezo wala maendeleo
https://www.yahoo.com/news/massive-effort-clear-baltimore-bridge-052245950.html
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Jana nilibahatika kushiriki Futari ya pamoja huko Rombo
Nilichokiona sikuamini uislam unakua kwa kasi sana pande hizo
Moshi misikiti inamea kwa kasi sana huku Rombo pakiwa ni mfano wa kuigwa...
Eti?
Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike..... unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili?
Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au...
Nimesikia mahali kuwa mafuta taa ni sumu ya hatari sana kwamba mtu akimiminiwa ndani ya masikio hata dakika 5 hamalizi ngoma za masikio hupasuka na kufariki papo hapo.
Jee ni kweli?
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?
Mwafrika mweusi mwenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.