Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shule private zinamfanya mtoto kuwa zombie mlegevu mlegevu hata kazi za nyumbani hawezi kufanya kutwa kulala tu. Kwenye mitihani makaratasi et mara 100 ya masomo ya ajabuajabu tu afu kichwani...
0 Reactions
23 Replies
272 Views
Habari za wakati huu; Je unajua kuwa biashara zote kubwa zilianza kama wazo? Je, unajua kwama biashara nyingi kubwa zilianza kama briefcase companies? Je, unajua kuwa biashara nyingi kubwa...
15 Reactions
88 Replies
8K Views
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina...
1 Reactions
18 Replies
156 Views
Usiku wa Mei 4, 2024 ACT wazalendo itazindua Nembo Mpya na kupandisha Bendera Mpya Je, Hiyo ni Ishara ya kuingia kwenye Siasa mpya zisizo na Uchawa kwa CCM?
2 Reactions
17 Replies
353 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
25 Reactions
110 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI. == Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25...
10 Reactions
63 Replies
812 Views
Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu. Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku...
5 Reactions
130 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili...
138 Reactions
7K Replies
832K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,979
Posts
49,402,898
Members
665,794
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom