Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani. Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na...
19 Reactions
136 Replies
13K Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
8 Reactions
117 Replies
4K Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo,tyipod na malaria mara...
0 Reactions
26 Replies
278 Views
1. Room 20 za kisasa 2. Vitanda vikubwa vya kisasa 3. A.c. 4. Maji ya moto, kwa hita kubwa 5. Sweeming pool 6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine. 7. Reception...
2 Reactions
170 Replies
26K Views
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Msaada wenu unahitajika wakuu.pikipiki yangu TVS 125.Mwaka jana iliua cylinder head nikaiweka ndani,wiki iliyopita nilinunua cylinder head mpya nikafunga,Tatizo linalonikabili ni kuwa ukiiwasha...
0 Reactions
4 Replies
39 Views
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki: Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke. Kumbe kwanini...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada juu ya ukuta wangu huu umeharibika vibaya na kila siku eneo la kuharibika linaongezeka. Naomba kufahamu sababu na suluhisho la hali kama hii. Nimeambatanisha picha ya hali...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
14 Reactions
168 Replies
6K Views
habari Wana JF, Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito [emoji24] pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao...
1 Reactions
44 Replies
383 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,294
Posts
49,196,324
Members
663,983
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom