Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu ni mwaka wa nne Sasa Sina hata girl friend nilikua nae wakuzugia tangu nilipo kuwa na miaka 23 hadi Sasa nipo bila bila yaani sielewi. Japo walikuwepo walio nishawishi hapo katika japo...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
20 Reactions
189 Replies
3K Views
Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana Bei sh 20,000 Tunapatikana tabata kinyerezi dar es salaam Biashara ni ya Mtandaoni, Ukihitaji tunafanya delivery Mawasiliano 0784 829565
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
219K Replies
16M Views
Habari zenu wakuu?? Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame...
1 Reactions
3 Replies
26 Views
Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa...
0 Reactions
9 Replies
193 Views
Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa...
7 Reactions
98 Replies
1K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
33K Replies
2M Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
4 Reactions
24 Replies
722 Views
Mambo ya tabia na mazoea mbofu mbofu utapigwa na mumeo mpaka ujirekebishe. Habari ndio hiyo.
6 Reactions
39 Replies
300 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,518
Posts
49,420,665
Members
665,975
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom