Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja...
25 Reactions
124 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mimi naendelea kuwapeni habari tofauti tofauti na mchanganyiko bila kuchoka .pia msichoke maana maisha ndio haya haya na nchi yetu ndio hii hii na watanzania ndio hawa...
5 Reactions
90 Replies
2K Views
Pamoja na kile kinachoitwa ushirikiano ila Huwa Kuna ajenda zingine Nje ya kinachoandikwa na kuonekana. Nchi iwe makini ,wanaoutwaga vibaraka Huwa wanaandaliwa hivi hivi.Tuwe makini na Wapinzani...
3 Reactions
38 Replies
723 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Wakuu, Nimeumwa na nyuki mkononi,na nimevimba! Ningependa kujua dawa nzuri ya kusaidia kuupunguza na kuuondoa huu mvimbo! Asanteni.
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
16 Reactions
298 Replies
6K Views
Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo...
13 Reactions
97 Replies
1K Views
Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
1 Reactions
1 Replies
67 Views
Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe mkristo au muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada...
1 Reactions
1 Replies
19 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,903
Posts
49,400,416
Members
665,766
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom