Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Huduma za hospitali ya rufaa Bugando zina changamoto hasa wodi za watoto, kwenye wodi za watoto wanaolazwa wanachanganya wazazi/walezi wa kiume na kike hali inayopelekea baadhi ya wasimamizi wa...
2 Reactions
3 Replies
39 Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
5 Reactions
24 Replies
681 Views
1. Wako tayari kukukandamiza hata km huna kosa , hawawezi kukutetea kwa bosi/ mkuu, they are always on management side. 2. Wanapenda kujua habari za wenzao ila zakwao hawataki zijukikane 3...
32 Reactions
127 Replies
10K Views
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa...
12 Reactions
82 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
22 Reactions
125 Replies
2K Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
39 Reactions
176 Replies
5K Views
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela halatu uje ulalamike hela huioni na inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi...
9 Reactions
20 Replies
322 Views
My Take Kama wanaume tumefikia mahala Hatuwezi kujitetea basi jamii imeharibika. Kiufupi inasikitisha sana https://www.instagram.com/p/C6JQ9o0tUH8/?igsh=MTRoNHBjamtwanhk
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,177
Posts
49,477,189
Members
666,640
Latest member
Aliy seif
Back
Top Bottom