Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi. Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo...
1 Reactions
4 Replies
84 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye...
6 Reactions
113 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
2 Reactions
23 Replies
558 Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
2 Reactions
100 Replies
4K Views
Bila shaka umaarufu wa chadema unashuka kwa kasi, maandamano yao huko Bariadi yamejaa vitoto vyenye umri chini ya miaka kumi, ambavyo hatabkura havitapiga.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
31 Reactions
141 Replies
3K Views
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii. Polisi...
0 Reactions
16 Replies
129 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,496
Posts
49,487,467
Members
666,758
Latest member
Tony brayer
Back
Top Bottom