Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
10 Reactions
260 Replies
3K Views
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja...
1 Reactions
4 Replies
68 Views
Wakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako. Naomba kuwasilisha
7 Reactions
31 Replies
657 Views
Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
4 Reactions
14 Replies
374 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
37 Reactions
181 Replies
3K Views
From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men. Kijana msomi...
12 Reactions
26 Replies
342 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
7 Reactions
139 Replies
2K Views
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha. Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
8 Reactions
992 Replies
33K Views
Nimekuwa nikiona zinatangazwa online na nipo mkoani, je zinapatikana kwenye maduka yetu huku mikoani?
0 Reactions
2 Replies
161 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,572
Posts
49,205,870
Members
664,060
Latest member
Mwico_jnr
Back
Top Bottom