Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao. Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila...
40 Reactions
108 Replies
3K Views
Tunafanya decoration za namna yoyote ya nyumba yako ikiwemo kutengeneza TV show case Za KISASA, board decoration and design, kujenga tailizi, finishing zote za nyumba na kupaka rangi za KISASA kwa...
1 Reactions
3 Replies
83 Views
Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
1 Reactions
17 Replies
334 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
123 Reactions
143K Replies
7M Views
Kuna mambo Mawili muhimu sana, Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi...
22 Reactions
141 Replies
5K Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
2 Reactions
12 Replies
184 Views
Chadema ni chama kinachoelekeza zaid wananchi kidini ukiangalia kipo zaidi na maelekezo ya kanisa hata katika balaa la bandari walijitokeza waziwazi wakishadidia dini yao ya kikiristo,huku ni...
0 Reactions
11 Replies
180 Views
WAMEJIKAANGA KUKWEPA KUSAJILI MIKOPO BOT - Sheria ya Fedha za Kigeni inakataza wakopaji kutokusajili mikopo yao Benki kuu ya Tanzania, ikielekeza kuwa ni lazima wakopaji kusajili mkopo BOT -...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi. Fikiri mengi lakini zungumza machache, Sikiliza wengi lakini jibu wachache, Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
3 Reactions
7 Replies
265 Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
9 Reactions
88 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,309
Posts
49,481,897
Members
666,695
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom