Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.
Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane...
Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia
Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku
Leo Sina pesa kabisa ya kula...
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Dada wa watu kachagua kilicho Bora kwake.
Mengi yalisemwa kipindi cha msiba wa Fanuel, lakini Sasa ukweli umerhibitika.
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.