Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Hili ni funzo kwa Makonda afuatilie mikutano ya kinana na nchimbi atagundua yeye alikuwa ni mwenezi
1: Mropokaji kila jambo anaropoka kwa maslahi yake
2- Mwenezi wa kujikweza na maagizo yasiyo na...
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya.
Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili...
Kwa hapa Dar es Salaam mtu kama hupiki kwako ukitegemea kula migahawani basi utateseka sana, huku mitaani kukuta mahali wanapika vyakula vya kueleweka basi utazunguka sana.
Wengi wanapika vyakula...
Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah...
Hellow wakuu.
Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku...
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.