Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
5 Reactions
41 Replies
494 Views
Kwema team MMU? Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako? Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu...
18 Reactions
138 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewasili kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Makonda ameitikia wito wa kufika...
3 Reactions
78 Replies
5K Views
Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
16 Reactions
157 Replies
5K Views
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi, Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu. #Samia hakamatiki ==== Below are...
3 Reactions
24 Replies
341 Views
Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinaeleza ya kuwa Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Paul Christian Makonda atazungumza na waandishi wa habari muda na wakati wowote ule...
10 Reactions
133 Replies
5K Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
12 Reactions
46 Replies
652 Views
Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe...
16 Reactions
72 Replies
4K Views
Mashine za kupandisha maji kwenye Matank na Mashine za kusafisha maji kwa domestic use. Nauza jumla na rejareja
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar...
5 Reactions
41 Replies
887 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,735
Posts
49,464,203
Members
666,444
Latest member
New life zone
Back
Top Bottom