Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Kwa mambo yanayoendelea huko mtandaoni shutuma mbaya na za kutisha
Sio nzuri kwa mkuu wa nchi, haipendezi wala sio busara kuona mkuu wa nchi anashutumiwa mambo mazito kama yale huku mkuu mwenyewe...
MHE. NICODEMAS MAGANGA AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YA SHILINGI TRILIONI 1.8 KWA MWAKA WA FEDHA 2024-2025 BUNGENI JIJINI DODOMA
"Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea.
Endapo kama ana viwango na...
Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu...
Hapa ni baadhi
1. Mbege
2. Dengerua
3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.