Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world! Sasa na mabasi Tena jamani!!?haya mabasi ya mwendokasi TU haya yamewashinda serikali!!?yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi TU yaani imeshindwa...
1 Reactions
35 Replies
122 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
96 Replies
1K Views
Matukio ya hawa watu kutaharibia watoto wetu yamekua mengi. Wadau ivi tuwafanyeje hawa kenge waache kutuharibia taifa la kesho????
2 Reactions
19 Replies
226 Views
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana. Lakini wagonjwa...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Daktari Magufuli aliwaachia madaktari waamue kuhusu chanjo ya Corona lakini Dr. Samia alihamasisha tena kwa kuchoma hadharani. Dr. Magufuli hakusafiri sana nje ya nchi na kuwaachia mabalozi wa...
2 Reactions
7 Replies
88 Views
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
2 Reactions
11 Replies
58 Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
18 Reactions
144 Replies
5K Views
Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI...
3 Reactions
43 Replies
490 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,400
Posts
49,200,753
Members
664,016
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom