Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100 Majimbo ya uchaguzi...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara...
2 Reactions
42 Replies
447 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani...
1 Reactions
2 Replies
49 Views
Na. David Kafulila NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
31 Reactions
151 Replies
5K Views
Utasikia fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka Fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka Fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka NONSENSE, UJINGA...
4 Reactions
33 Replies
275 Views
Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
2 Reactions
40 Replies
437 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
19 Reactions
1K Replies
10K Views
Angalizo: Mada za Msingi kama Hizi Huwezi Wakuta Watanzania wanadili ila Umbea,michezo,siasa na dini . Kwenye mada,Kwa mujibu wa Utafiti wa Benki ya Dunia,Tanzania inashika nafasi ya 180 kati ya...
6 Reactions
26 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,823
Posts
49,466,917
Members
666,455
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom