bila kuungana na vyama vingine dhidi ya ccm madhubuti sana kwa sasa, watapata aibu kubwa sana kwa kushindwa kwa fedheha sana, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, kakini pia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipangp mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujemgwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi
Hakuna anayekataa watu kuswali lakini wangeweza...
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Nchi ya Namibia imetangaza kugundua kiasi kikubwa Cha Mafuta katika Pwani ya Nchi hiyo.
Kwa mujibu wa kampuni ya Utafiti ya Kutoka Ureno ya Galp Energia inasema awamu ya kwanza ya matokeo...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Amichai Chikli: Biden admin. doesn't project power, I would choose Republicans
Jamaa analalama Biden anaiumiza Israel kwa sera na kauli zake.
Ameenda mbali zaidi na kusema laiti kama angekuwa...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.