Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
6 Reactions
127 Replies
2K Views
Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar. Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika Ameanza na ushauri Tatizo upeo tu, wale...
0 Reactions
7 Replies
78 Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
20 Reactions
423 Replies
6K Views
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
30 Reactions
145 Replies
2K Views
Ukidumu katika video inayosambaa utagundua hasira ya wazsnzibar vs wabara kuna chuki inayofichwa. Ninkama moshi unaofula chini kwa chini. Moto utakuja kuzagaa chini na ukafika kwa wananchi. Kuwe...
2 Reactions
7 Replies
56 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama...
13 Reactions
84 Replies
3K Views
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa...
14 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani. Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa...
3 Reactions
5 Replies
134 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,631
Posts
49,207,981
Members
664,075
Latest member
merckme
Back
Top Bottom