Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
3 Reactions
51 Replies
581 Views
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
11 Reactions
88 Replies
1K Views
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka...
2 Reactions
20 Replies
344 Views
Uongo uliozushwa awali una maana kwamba kwa sasa serikali inashindana na vijana wa mitandani kuweka uongo.
22 Reactions
161 Replies
6K Views
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo. "Nafikri wewe kibabu Jemedari...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
75 Replies
1K Views
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana. Lakini wagonjwa...
5 Reactions
50 Replies
955 Views
Mnaotumia barabara ya morogoro, kibaha mlandizi au chalinze Mlandizi hali bado ni tete. Wenye mko na njia mbadala jiongezeni au subirini. Kama sio lazima sana kusafiri ebu subirini, manake malory...
1 Reactions
1 Replies
18 Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
12 Reactions
93 Replies
1K Views
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula. Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda. Kwa...
8 Reactions
24 Replies
264 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,338
Posts
49,198,114
Members
663,996
Latest member
Mr true
Back
Top Bottom