Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
8K Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu...
0 Reactions
7 Replies
8 Views
Aloha kakahiaka.... 👋👋 Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock...
25 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
0 Reactions
2 Replies
89 Views
Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye...
3 Reactions
16 Replies
313 Views
Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
1 Reactions
20 Replies
149 Views
Hello. Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe. Au ndo masharti ya mganga wao...
0 Reactions
7 Replies
153 Views
Maneno haya umeyasema kwa uwazi na ufasaha, fedha za kodi kwa maendeleo ni zetu wenyewe na tunapaswa kufanya juhudi kuzitafuta kwa bidii ili tulipe kodi tuendelee kama nchi. Ndio maana kuna...
0 Reactions
7 Replies
314 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
873 Replies
21K Views
Hili swali nimeulizwa na huyu mtoto wangu mdogo! Kila mcheshi anadhani anaweza kuwa MC na wengi wamevamia huko, cha ajabu ni wachache sana kati yao wenye angalau. Japo lengo lao kujipatia...
2 Reactions
4 Replies
40 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,781
Posts
49,465,560
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom