Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenye taasisi zingine zilizo chini ya serkali kuna madudu mengi sana! Inakuwaje kwenye halmashauri kuwe safi kwa 99% huku kwenye taasisi za serkali kuwe kumeoza! Au minong'ono ya bahasha kwa...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai. Mbali na ushahidi huo...
4 Reactions
70 Replies
3K Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
6 Reactions
75 Replies
1K Views
Wote, hadi sasa, wana kadi tatu za njano. Ni hawa: RISK OF SUSPENSION This table lists all players who are injured, sick and suspended, and those, who are at risk of facing suspension. Compact...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
3 Reactions
14 Replies
292 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi. Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa...
11 Reactions
30 Replies
392 Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
13 Reactions
171 Replies
1K Views
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki Msaaada naombeni
1 Reactions
54 Replies
427 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,400
Posts
49,200,837
Members
664,016
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom