Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Khabarini wana jukwaa.
Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
Maneno haya umeyasema kwa uwazi na ufasaha, fedha za kodi kwa maendeleo ni zetu wenyewe na tunapaswa kufanya juhudi kuzitafuta kwa bidii ili tulipe kodi tuendelee kama nchi.
Ndio maana kuna...
Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katika siku za karibuni Marekani imeendelea na mpango wake wa kuishambulia China na makampuni yake, baada ya wabunge na ikulu ya Marekani kusema wana wasiwasi kuwa kampuni inayomiliki App ya...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.